Elimu na Uhakiki wa Mizani Mkoani Mtwara pamoja na Lindi

Wakala wa Vipimio Tanzania kuanzia tarehe 09-21/05/2017 wanafanya zoezi la utoaji elimu pamoja na uhakiki wa mizani katika Mikoa ya Mtwara na Lindi ikiwa ni maandalizi ya msimu wa ununuzi wa mazao ya wakulima ambayo ni Korosho, Mbaazi, Choroko pamoja na ufuta ili wakulima waweze kupimiwa kwa usahihi na wapate faida ya jasho lao.