Wakala wa Vipimo wapo Kanda ya Ziwa katika Mikoa ya Mwanza, Simiyu, Geita, Kagera, Mara, Shinyanga na Tabora kuanzia tarehe 16-28/4/2017 kwa ajili ya kutoa elimu kwa wakulikma na Pamba pamoja na kufanya uhakiki wa Mizani itakayotumika katika msimu wa kun

Wakala wa Vipimo wapo Kanda ya Ziwa katika Mikoa ya Mwanza, Simiyu, Geita, Kagera, Mara, Shinyanga na Tabora kuanzia tarehe 16-28/4/2017 kwa ajili ya kutoa elimu kwa wakulikma na Pamba pamoja na kufanya uhakiki wa Mizani itakayotumika katika msimu wa kununulia zao la Pamba