Siku ya Vipimo Duniani

  • Tarehe ya Tukio: May 20, 2017 - May 20, 2017
  • Muda: 10:00
  • Mahali: NSSF Mafao House Ilala 8th Floor

Kila mwaka tarehe 20, Mei Wakala wa Vipimo huadhimisha siku ya Vipimo Duniani, ambapo kwa mwaka huu kaulimbiu ni Vipimo katika usafirishaji.