Kuhakiki Mizani

Mambo ya kuzingatia

  • Wakala wa Vipimo hufanya uhakiki wa mizani mara moja kila baada ya Mwaka mmoja
  • Hakikisha unakuja na Mzani wako katika kituo maalum kitakacho andaliwa kwa ajili ya uhakiki wa mizani yako
  • Hakikisha unapewa risiti mara baada ya kupatiwa huduma
  • Endapo mzani utapata tatizo mara baada ya zoezi la uhakiki kupita unapaswa kutafuta fundi mizani aliyepitishwa na kupewa leseni na Wakala wa vipimo