Kuhakiki Pampu za Mafuta

Mambo ya Kuzingatia

  • Pakua fomu ya maombi ya kufanyiwa uhakiki www.wma.go.tz
  • Jaza fomu ya uhakiki
  • Lipa Ada ya uhakiki kiasi cha Tshs 13000/= kupitia NMB account no ...........
  • Tuma / leta fomu ya uhakiki iliyoambatishwa na risiti ya malipo yaliyofanyika katika ofisi ya Wakala wa Vipimo