Dira na Dhima

Dira

Kufikia viwango vya Kimataifa katika utoaji huduma kwa jamii kupitia matumizi sahihi ya vipimo.

Dhima

Kuthibiti vipimo vyote vinavyotumika na vinavyokusudiwa kutumika katika sekta ya Biashara, Usalama, Mazingira, na Afya na kuelimisha umma kuhusu masuala ya vipimo nchini kwa lengo la kumlinda mlaji.