Tunu za Wakala

Utendaji wenye matokeo

  • Wakala inajali utendaji wa matokeo zaidi.

Timu ya pamoja

  • Wafanyakazi wa wakala wanatekeleza majukumu yao kwa pamoja, yaani kitimu.

Kufikia matarajio ya mteja

  • Wakala mara zote inataka kufikia matarajio ya mteja katika huduma wanazotoa.

Uwazi

  • Mara zote wakala inatekeleza majukumu yake kwa uwazi kwa wateja wake wote wa ndani na uje.

Uwajibikaji

  • Wakala na wafanyakazi wake wana wajibu wa kutekeleza majukumu yake kikamilifu kufikia mafanikio ya malengo yake.

Weledi

  • Wafanyakazi wa Wakala wanatumia taaluma zao mahiri na ujuzi wao kuhakikisha wanafikia mafanikio ya Wakala.