Dira na Dhima
Dira
Taasisi ya mfano kwa utoaji wa huduma za
uhakiki wa Vipimo za kuaminika.
Dhima
Kutoa huduma za kumlinda mlaji kupitia
matumizi ya Vipimo kwa kuhakiki usahihi wa Vipimo na mifumo ya upimaji
vimiminika na kuhimiza upimaji viwandani ili kuongeza imani kwa walaji.