Uhakiki wa Vipimo
Wakala wa Vipimo (WMA) inaendelea na zoezi la uhakiki wa Vipimo mbalimbali katika Mikoa yote Tanzania Bara. Mwananchi hakikisha unapeleka kipimo
chako kuhakikiwa kwa mujibu wa sheria kwani kutumia kipimo ambacho hakija hakikiwa ni kosa kisheria na hatua kali zitachukuliwa kwa yeyote atakaye kamatwa.