Nane Nane Kitaifa Mbeya

  • Tarehe ya Tukio: August 01, 2022 - August 01, 2022
  • Muda: 08:59
  • Mahali: Mbeya, Viwanja vya John Mwakangale

Wakala wa Vipimo inawakaribisha Wananchi wote kutembelea banda lake kwa ajili ya kupata elimu kuhusu matumizi ya Vipimo sahihi.