ELIMU KWA UMMA

  • Tarehe ya Tukio: May 05, 2021 - May 05, 2021
  • Muda: 09:00
  • Mahali: Manispaa ya Songea

Wakala wa Vipimo inatarajia kutoa elimu ya matumizi sahihi ya Vipimo kwa Wafanyabiashara wa Songea siku ya tarehe 5/5/2021 kuanzia saa 3:00 asubuhi.