Wiki ya Huduma kwa Mteja

  • Tarehe ya Tukio: October 04, 2021 - October 04, 2021
  • Muda: 08:00
  • Mahali: ALL WMA OFFICES

Heri ya wiki ya huduma kwa mteja kwa watumiaji wote wa Vipimo nchini. Tuna ahidi kuendelea kuwahudumia kwa kusimamia usahihi wa Vipimo kama Sheria ya Vipimo Sura Na. 340 inavyoelekeza.

Tunawakaribisha kuwasilisha maoni na changamoto kuhusu Vipimo kwa kutumia namba ya bure 0800 110097 au kufika kwenye Ofisi zetu zilizopo kwenye Mikoa yote Tanzania Bara na Makao Makuu Dar Es Salaam Jengo la NSSF Mafao, Orofa ya saba (7) kuanzia tarehe 4 - 8 Oktoba, 2021.

"Zingatia matumizi sahihi ya Vipimo kukuza Uchumi wa Nchi"