SIKU YA VIPIMO DUNIANI

  • Tarehe ya Tukio: May 20, 2021 - May 20, 2021
  • Muda: 08:00
  • Mahali: Commemorated in all Regional offices

Karibu Siku ya Vipimo Duniani Mei 20, 2021. Kaulimbiu ya mwaka huu ni Vipimo katika Afya.

Wakala wa Vipimo uhakiki mizani zinazotumika katika sekta ya Afya ili kuhakikisha wagonjwa wanapata dozi za dawa sawa sawa na uzito walionao kwani bila kuzingatia Vipimo sahihi ugawaji holela wa dawa unaweza kusababisha madhara makubwa kwa wagonjwa.

Wakala wa Vipimo itaendelea kutoa huduma bora kwa kusimamia matumizi sahihi ya Vipimo katika Sekta zote kwa lengo la kuwalinda watumiaji wa Vipimo. "Zingatia matumizi sahihi ya Vipimo ili kukuza uchumi".