Habari


  • October 16, 2023

    YALIYOJIRI KWENYE KIKAO CHA WMA NA UONGOZI WA KIWANDA CHA SARUJI CHA DANGOTE

    Wakala wa Vipimo Makao Makuu imefanya kikao na Uongozi wa kiwanda cha Saruji cha Dangote kilichopo Mkoani Mtwara kwa lengo la kupeana elimu kuhusu matumizi sahihi ya vipimo

    Soma zaidi

  • September 30, 2023

    WMA YAKAGUA MIZANI INAYOTUMIKA KATIKA SEKTA YA MADINI

    Wakala wa vipimo inaishukuru sana serikali ya awamu ya sita ambayo inaongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kusimamia sekta ya madini

    Soma zaidi

  • September 01, 2023

    WAFANYABIASHARA WA SOKO LA MAWENZI MKOANI MOROGORO WAHIMIZWA KUTUMIA VIPIMO SAHIHI

    Meneja wa Wakala wa Vipimo (WMA) Mkoa wa Morogoro amewataka viongozi wa masoko ya Mkoa wa Morogoro na wafanyabiashara wa masoko yote kuzingatia matumizi sahihi ya vipimo wakati wote

    Soma zaidi

  • August 29, 2023

    Afisa Mtendaji Mkuu Bi. Stella Kahwa afanya mazungumzo na Uongozi wa CBE

    Afisa Mtendaji Mkuu Bi. Stella Kahwa amekutana na kufanya mazungumzo na Kaimu Mkuu wa Chuo Cha Biashara (CBE) Prof. Tandi Lwoga leo tarehe 29.8.2023.

    Soma zaidi