Habari
-
September 11, 2024WMA YATOA MSAADA WA VIFAA VYA TEHAMA KWA JESHI LA POLISI ILALA
Wakala wa Vipimo (WMA) imekabidhi msaada wa vifaa vya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) kwa Jeshi la Polisi Mkoa wa kipolisi Ilala
Soma zaidi -
September 11, 2024WMA, TAKUKURU WATEKELEZA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA
Wakala wa Vipimo (WMA) Mkoa wa Dodoma imetoa elimu ya vipimo kwa Watumishi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU)
Soma zaidi -
September 02, 2024WMA YAPANGA KUNG'ARA SHIMUTA
Katika kuhakikisha kuwa WMA inapata timu bora na yenye ushindani, Watumishi wa Taasisi hiyo wameshriki michezo katika bonanza hilo ikiwemo mpira wa miguu,mpira wa pete, drafti, na kuvuta kamba ili kujiweka tayari na kuwa na utimamu wa mwili
Soma zaidi -
August 29, 2024WMA YAHAMASISHA MATUMIZI SAHIHI YA VIPIMO KWA WATUMISHI NSSF ILALA
Wakala wa Vipimo Tanzania (WMA), imewahamasisha watumishi wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) Mkoa wa kivipimo Ilala, kujenga tabia ya kuwa makini na namna vipimo vinavyotumika kila wanapopata huduma na mahitaji mbalimbali.
Soma zaidi