Habari
-
April 12, 2022WAKALA WA VIPIMO YAHIMIZA UFANYAJI KAZI KWA KUZINGATIA SHERIA YA VIPIMO
Meneja wa Survaillance Bw. Almachius Pastory ambaye alimuwakilisha Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu amefanya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Mafundi Mizani ambao kwa mara ya kwanza tangu kuanzishwa kakwe umefanyika Jijini Dodoma kwenye ukumbi wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE).
Soma zaidi -
December 09, 2021Elimu kwa Umma kwenye viwanja vya Maisara Zanzibar
Wakaazi wa Zanzibar wamehimizwa kujitokeza kwa wingi kwenye Viwanja vya Maisara kwa lengo la kupata elimu kuhusu matumizi sahihi ya Vipimo.
Soma zaidi -
September 30, 2021Elimu kuhusu matumizi sahihi ya Vipimo na Ufungashaji kwenye Maonesho ya SIDO Kigoma
Wakala wa Vipimo Mkoa wa Kigoma ni miongoni mwa taasisi za Serikali zinazoshiriki katika Maonesho ya tatu ya SIDO Kitaifa ambayo yanafanyika katika Viwanja vya Umoja Kasulu Mkoani Kigoma.
Soma zaidi -
September 29, 2021Elimu kuhusu matumizi sahihi ya Vipimo na Ufungashaji Mkoa wa Njombe
Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mhe. Marwa Rubirya ameipongeza taasisi ya Wakala wa Vipimo kwa uamuzi wa kutoa elimu kuhusu matumizi sahihi ya Vipimo na ufungashaji kwa Wakulima na viongozi mbalimbali wa Serikali
Soma zaidi