Habari


  • April 08, 2019

    Ukaguzi wa Mizani Mtwara

    Wakala wa Vipimo (WMA) imeendelea kufanya uhakiki na ukaguzi wa kushtukiza katika vituo vya kununulia Korosho katika Mikoa ya Mtwara, Lindi, Ruvuma, na Pwani ambapo jumla ya Wilaya 20 katika Mikoa yote zilifikiwa.

    Soma zaidi

  • April 22, 2018

    WAKALA WA VIPIMO YAENDELEA KUTOA ELIMU KUHUSU MIZANI KWA WAKULIMA WA PAMBA

    Wakala wa Vipimo (WMA) inaendelea na zoezi la utoaji elimu kwa Wakulima na wadau wa zao la pamba katika Mikoa saba (7) ya Kanda ya Ziwa ambayo ni Mwanza, Geita, Simiyu, Tabora, Shinyanga, Mara pamoja na Kagera. Jumla ya wilaya 27 zitapata elimu ya Mizani sahihi zinazotakiwa kutumika wakati wa msimu wa kuuza pamba.

    Soma zaidi

  • April 19, 2018

    ELIMU KWA WAKULIMA WA PAMBA KATIKA MIKOA YA KANDA YA ZIWA YAPAMBA MOTO ILI KUCHOCHEA TANZANIA YA VIWANDA

    Wakala wa Vipimo wapo Kanda ya Ziwa katika Mikoa ya Mwanza, Simiyu, Geita, Kagera, Mara, Shinyanga na Tabora kuanzia tarehe 16-28/4/2017 kwa ajili ya kutoa elimu kwa wakulikma na Pamba pamoja na kufanya uhakiki wa Mizani itakayotumika katika msimu wa kununulia zao la Pamba

    Soma zaidi

  • September 06, 2017

    MKUU WA MKOA WA LINDI AHIMIZA MATUMIZI YA VIPIMO SAHIHI

    Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe. Godfrey W. Zambi amewataka Wakala wa Vipimo Kuongeza nguvu zaidi katika kusimamia matumizi sahihi ya vipimo katika maeneo mbalimbali, ili wakulima na Wananchi kwa ujumla waweze kunufaika na mazao wanayolima pindi waendapo kuyauza wakati wa msimu.

    Soma zaidi