Habari
-
May 18, 2024WAKALA WA VIPIMO (WMA) YASHIRIKI KUTOA ELIMU SOKO LA KARUME MACHINGA COMPLEX
Wakala wa vipimo (WMA) imeshiriki katika kutoa elimu juu ya matumizi sahihi ya vipimo kwa wafanyabiashara wa soko la karume machinga complex wilayani ilala Jijini Dar es salaam.
Soma zaidi -
May 18, 2024WAKALA WA VIPIMO (WMA) MKOA WA TEMEKE YATOA ELIMU KWA WAFANYABIASHARA SOKO LA STEREO
Kuelekea Siku ya Vipimo Duniani ambayo huadhimishwa Mei 20 kila mwaka, Wakala wa Vipimo (WMA) Mkoa wa Temeke imetoa Elimu ya Vipimo kwa wafanyabiashara na wadau wa vipimo wanaofanya shughuli zao katika Soko la Stereo- Temeke, Jijini Dar es Salaam.
Soma zaidi -
May 14, 2024WAKALA WA VIPIMO YATOA ELIMU KWA BAADHI YA WATUMISHI WA SHIRIKA LA UZALISHAJI MALI JESHI LA KUJENGA TAIFA (SUMA JKT).
Katika kuendeleza juhudi zake za kuwafikia wadau na kuwapa elimu ya matumizi sahihi ya vipimo, Wakala wa Vipimo (WMA) imewapa elimu hiyo baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya SUMA JKT waliopo ilala NSSF Mafao leo tarehe 14 Mei, 2024.
Soma zaidi -
May 13, 2024WAKALA WA VIPIMO NA EWURA ZAFANYA UKAGUZI KATIKA VITUO VYA KUUZA MAFUTA MKOANI PWANI
Wakala wa Vipimo (WMA) imeshirikiana na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) kufanya ukaguzi wa kushitukiza katika vituo mbalimbali vya kuuza mafuta mkoani Pwani.
Soma zaidi