Kanusho

Hakuna madai yatakayotolewa kuhusu usahihi au uhalali wa maudhui ya tovuti hii. Wakala wa Vipimo haitakubali dhima yoyote kwa mtu yeyoye kwa taarifa au ushauri unaotolewa kwenye tovuti hii au kushirikishwa kwenye tovuti hii kwa marejeo.

Taarifa iliyomo kwenye tovuti ya Wakala wa Vipimo haipaswi kuonyeshwa isipokuwa katika mfumo kamili wa sklini.

Wakala wa Vipimo inaweza kuwaunganisha na wavuti za tovuti za nje zilizo za serikali au zisizo za serikali (Tovuti za mtumiaji watatu) isipokuwa pale itakapoelekezwa vinginevyo;

  • Haishirikishwi au kuhusishwa na mmiliki au mwendeshaji wa tovuti ya mtumiaji wa tatu; na
  • Kama una maswali yoyote kuhusu maudhui yaliyomo kwenye tovuti ya Wakala wa Vipimo, tafadhali wasiliana na nasi.

www.wma.go.tz