Habari
-
August 26, 2024WABUNIFU VIPIMO, TEKNOLOJIA MPYA WAHAMASISHWA KUCHANGAMKIA FURSA
Meneja wa Viwango na Uhakiki, Wakala wa Vipimo Tanzania (WMA), Magesa Biyani ametoa rai kwa wabunifu wa vipimo pamoja na teknolojia mbalimbali zinazohusiana na uhakiki wa vipimo kuchangamkia fursa
Soma zaidi -
August 26, 2024WATAALAMU KITENGO CHA BANDARI WMA WAAHIDI WELEDI ZAIDI KAZINI
Wafanyakazi wa Wakala wa Vipimo (WMA) Kitengo cha Bandari, wamesema wataendelea kutekeleza majukumu yao kwa weledi ili kufikia azma ya Serikali ya Awamu ya Sita ya kuwa na Tanzania ya Viwanda.
Soma zaidi -
August 19, 2024WAKALA WA VIPIMO YAENDESHA UKAGUZI WA KUSHTUKIZA KATIKA MADUKA YA KUUZIA NONDO JIJINI DAR ES SALAAM
Wakala wa Vipimo Mkoa wa Dar es Salaam imeendesha zoezi la ukaguzi wa kushtukiza katika maduka mbalimbali ya kuuzia nondo ili kujiridhisha kama bidhaa hizo zipo katika Vipimo sahihi.
Soma zaidi -
August 19, 2024WAKALA WA VIPIMO ZANZIBAR WAJIFUNZA KUTOKA WMA BARA
Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala wa Vipimo Zanzibar (ZAWEMA) Mohammed Simai amefanya ziara ya siku mbili mkoani Mtwara kwa lengo la kujifunza majukumu yanayotekelezwa na Wakala wa Vipimo Tanzania Bara (WMA) ambapo amekiri kunufaika zaidi ya alivyotarajia
Soma zaidi