Tunu za Wakala
Utendaji wenye matokeo
Ø  Wakala inajali
utendaji wa matokeo zaidi. 
Timu ya pamoja
Ø  Wafanyakazi wa Wakala
wanatekeleza majukumu yao kwa pamoja, yaani kitimu.
Weledi
Ø  Wafanyakazi wa Wakala
wanatumia taaluma zao mahiri na ujuzi wao kuhakikisha wanafikia mafanikio ya
Wakala.
Kufikia matarajio ya mteja
Ø  Wakala mara zote
inataka kufikia matarajio ya mteja katika huduma wanazotoa.
Uwazi
Ø  Mara zote Wakala
inatekeleza majukumu yake kwa uwazi kwa wateja wake wote wa ndani na nje.
Uwajibikaji
Ø  Wakala na wafanyakazi
wake wanawajibu wa kutekeleza majukumu yake kikamilifu kufikia mafanikio ya
malengo yake.