Dira na Dhima

Dira

Taasisi ya mfano kwa utoaji wa huduma za uhakiki wa Vipimo za kuaminika.


Dhima

Kutoa huduma za kumlinda mlaji kupitia matumizi ya Vipimo kwa kuhakiki usahihi wa Vipimo na mifumo ya upimaji vimiminika na kuhimiza upimaji viwandani ili kuongeza imani kwa walaji.