Vitengo
Wakala wa Vipimo kuna vitengo vinne;
- Kitengo cha Sheria
- Kinashughulikia na kutoa ushauri wa Kisheria katika mambo yote yanayohusu taasisi
- Kitengo cha Mipango
- Kinahusika na kuratibu shughuli zote za mipango za taasisi
- Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
- Kinashughulikia maswala yote ya ununuzi na ugavi ndani ya taasisi
Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
- Kitengo hiki humsaidia Mtendaji Mkuu katika kusimamia mifumo ya uthibiti wa ndani