Sehemu
Chunguza vitengo maalum vinavyowezesha shughuli zetu na utoaji wa huduma.
Mawasiliano na Uhusiano kwa Umma
- Kusimamia shughuli zote za Mawasiliano kwa wateja wa ndani na nje ya taasisi ikiwa ni pamoja na kutoa elimu kwa Umma juu ya shughuli za taasisi na kushughulikia malalamiko ya wadau
- Kushughulikia Malalamiko ndani ya taasisi
Utawala na Usimamizi wa Raslimali watu
- Inashughulika na usimamizi wa rasirimali za taasisi
Fedha na Uhasibu
- Inashughulikia masuala yote ya fedha na uhasibu ndani ya taasisi
Vipimo vya Ujazo na Mtiririko
- Inashughulika na masuala yote ya upimaji ndani ya taasisi
Viwango na Uhakiki
- Inashughulika na usimamizi na uhakiki wa Vipimo
Ufuatiliaji
- kusimamia utendaji kazi wa ofisi za mikoa na kufanya kaguzi za kushtukiza