Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wakala wa Vipimo
Vipimo Sahihi na Vya Kuaminika kwa Wote

Uhakiki wa Matanki ya Magari yabebayo vimiminika

Afisa Vipimo akikagua tenki la kubebea mafuta kabla kufanya uhakiki.

Soma Zaidi

UJUMBE WA AFISA MTENDAJI MKUU

Nichukue nafasi hii kuwakaribisha wadau wetu wote katika taasisi ya Wakala wa Vipimo (WMA). Wakala wa Vipimo ni taasisi ya Serikalia ambayo ipo chini ya Wizara ya Viwanda na Biashara ambayo ilianzishwa rasmi tarehe 20 Mei, 2002 ikiwa na jukumu kuu la kuwalinda walaji kupitia matumizi sahihi ya Vipimo.

Shughuli za WMA
Shughuli za WMA
Shughuli za WMA
Shughuli za WMA
24 Miaka ya
Uzoefu
0
Wateja Waliohudumiwa
0
Vipimo Viliohakikiwa
0
Leseni Zilizotolewa
0
Miundo Iliyoidhinishwa

Huduma Zetu

Huduma za kitaalamu za ukaguzi na udhibitishaji zinazohakikisha usahihi na uzingatiaji wa viwango vinavyohitajika.

Uhakiki wa Matanki ya Magari yakubebea vimiminika

Uhakiki wa Matanki ya Magari yakubebea vimiminika

Uhakiki wa matanki ya magari ya mafuta unahakikisha kuwa matanki ya mafuta kwenye malori yanakidhi viwango vya kipimo vilivyowekwa. Wakala wa Vipimo hukagua matanki haya...

 Uhakiki wa malori ya Mchanga na Kokoto

Uhakiki wa malori ya Mchanga na Kokoto

Huduma hii inahakikisha kuwa malori yanayosafirisha mchanga na kokoto yanabeba uzito sahihi kulingana na viwango vya biashara. Malori yaliyozidisha mzigo yanaweza kuharibu barabara na kusababisha...

Uhakiki wa Matanki  ya kuhifadhia Mafuta ardhini katika vituo vya mafuta

Uhakiki wa Matanki ya kuhifadhia Mafuta ardhini katika vituo vya mafuta

Matanki ya kuhifadhi yaliyojengwa kudumu hutumika kuhifadhi mafuta, maji, na vimiminika vingine. Wakala wa Vipimo hukagua matanki haya ili kuhakikisha kuwa yanapima ujazo wa vimiminika...

Uhakiki wa Matanki ya kuhifadhi Mafuta  ya ujazo mkubwa

Uhakiki wa Matanki ya kuhifadhi Mafuta ya ujazo mkubwa

Matanki ya kuhifadhi ya ujazo mkubwa hutumika kwa biashara kubwa kama vile maghala ya mafuta na viwanda. Wakala wa Vipimo unahakikisha kuwa matanki haya yanatoa...

Uhakiki wa bidhaa zilizofungashwa

Uhakiki wa bidhaa zilizofungashwa

Bidhaa zilizofungashwa tayari ni bidhaa ambazo zimepimwa, kufungwa, na kuwekwa lebo kabla ya kuuzwa, kama sukari, unga, mafuta ya kupikia, na maji ya chupa. Wakala...

Uhakiki wa Matanki ya Mabehewa

Uhakiki wa Matanki ya Mabehewa

Matanki ya mabehewa hutumika kusafirisha vimiminika kwa wingi, kama mafuta au kemikali, kupitia reli. Wakala wa Vipimo huhakikisha kuwa matanki haya yanapima vimiminika kwa usahihi...

Huduma za Kidigitali

Huduma za kidijitali za WMA zimebuniwa kukupa urahisi, kasi na ufanisi katika kila hatua ya matumizi

Uidhinishaji wa Miundo

Wasilisha na fuatilia maombi ya uidhinishaji wa miundo ya vipimo.

Fikia Huduma

Hali ya Ukaguzi wa Kifaa

Angalia uhalisi na hali ya ukaguzi wa kifaa chako.

Fikia Huduma

Orodha ya Mafundi

Pitia Kuona mafundi walioidhinishwa

Fikia Huduma

Hali ya Ukaguzi wa Gari

Angalia hali na maelezo ya ukaguzi wa gari lako.

Fikia Huduma

Customer Portal

Manage your applications and view service history.

Inakuja Hivi Karibuni

Maombi ya leseni

Jisajili upate leseni yako haraka

Fikia Huduma

Habari na Matukio

Pata habari kuhusu maendeleo ya hivi punde, maboresho ya kanuni, na matukio yajayo kutoka Wakala wa Vipimo.

WAKALA WA VIPIMO WAITIKIA WITO WA RAIS SAMIA KUHUSU UPANDAJI MITI
Habari
Mar 20, 2026
Paulus Olochi

WAKALA WA VIPIMO WAITIKIA WITO WA RAIS SAMIA KUHUSU UPANDAJI MITI

WAKALA WA VIPIMO WAITIKIA WITO WA RAIS SAMIA KUHUSU UPANDAJI MITI Na WMA – DodomaWatumishi wa...

Soma Habari Kamili
ELIMU YA VIPIMO YAWAFIKIA WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI DR. SAMIA DODOMA
Habari
Feb 27, 2026
Paulus Olochi

ELIMU YA VIPIMO YAWAFIKIA WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI DR. SAMIA DODOMA

Wakala wa Vipimo Tanzania (WMA) imetoa mafunzo ya vipimo kwa wanafunzi wa Dr. Samia Dodoma Secondary...

Soma Habari Kamili
MAFUNDI NA WAUNDAJI VIPIMO NCHINI WAASWA KUENDANA NA TEKNOLOJIA
Habari
Feb 18, 2026
Paulus Olochi

MAFUNDI NA WAUNDAJI VIPIMO NCHINI WAASWA KUENDANA NA TEKNOLOJIA

Mafundi pamoja na waundaji wa vipimo mbalimbali nchini zikiwemo mizani na pampu za kujazia mafuta zi...

Soma Habari Kamili
WMA YAFUNGA MTAMBO WA KISASA UNAOHAKIKI DIRA ZA MAJI DODOMA
Habari
Feb 09, 2026
Paulus Olochi

WMA YAFUNGA MTAMBO WA KISASA UNAOHAKIKI DIRA ZA MAJI DODOMA

WMA YAFUNGA MTAMBO WA KISASA UNAOHAKIKI DIRA ZA MAJI DODOMAWakala wa Vipimo (WMA) umesimika mtambo w...

Soma Habari Kamili
WAKALA WA VIPIMO TANZANIA NA ZAMBIA KUSHIRIKIANA KUSIMAMIA MATUMIZI SAHIHI YA VIPIMO
Habari
Dec 16, 2025
Paulus Olochi

WAKALA WA VIPIMO TANZANIA NA ZAMBIA KUSHIRIKIANA KUSIMAMIA MATUMIZI SAHIHI YA VIPIMO

WAKALA WA VIPIMO TANZANIA NA ZAMBIA KUSHIRIKIANA KUSIMAMIA MATUMIZI SAHIHI YA VIPIMOLusaka, Zambi...

Soma Habari Kamili

Matukio Yajayo

SIKU YA VIPIMO DUNIANI
May 20, 2026

SIKU YA VIPIMO DUNIANI

DODOMA Soma Zaidi

Matangazo Mapya

Jul 01, 2026

Dirisha la maombi ya leseni kufunguliwa 2026

Idara ya Leseni itafungua rasmi dirisha la kupokea maombi tarehe 10 Desemba 2025. Waombaji wanahimizwa kuandaa nyaraka zote muhimu mapema…

Soma Zaidi

Wadau Wetu

Partner
Partner
Partner
Partner
Partner
Partner
Partner
Partner
Partner
Partner
Partner
Partner
Partner
Partner
Partner