Uhakiki wa Rula ya kipimo
Maelezo ya kina kuhusu mchakato wetu wa uhakiki.
Rula ya mita ni kifaa cha kipimo kinachotumika katika ujenzi, ushonaji, na viwandani kupima urefu. Wakala wa Vipimo huhakikisha rula hizi zinatoa vipimo sahihi.
Jinsi inavyofanya kazi
Hatua za Mchakato wa Uhakiki
01
Hatua 1
• Rula ya mita inalinganishwa na kipimo cha viwango kilichoidhinishwa.
02
Hatua 2
• Makosa yoyote huorodheshwa, na rula zenye kasoro huondolewa.
03
Hatua 3
• Rula zilizothibitishwa hupigwa muhuri wa idhini.