Uhakiki wa Tape Measure
Maelezo ya kina kuhusu mchakato wetu wa uhakiki.
Tape measure ni kifaa cha kipimo cha urefu kinachotumika katika sekta mbalimbali. Wakala wa Vipimo huhakikisha kuwa kina kalibishwa kwa usahihi ili kuepusha makosa ya kipimo.
Jinsi inavyofanya kazi
Hatua za Mchakato wa Uhakiki
01
Hatua 1
• Tape measure huinuliwa na kulinganishwa na kipimo cha viwango.
02
Hatua 2
• Makosa yoyote husahihishwa au kifaa hubadilishwa.
03
Hatua 3
• Vipimo vilivyothibitishwa hupigwa muhuri wa uthibitisho.