Habari
-
November 23, 2023KAMATI YA BUNGE VIWANDA, BIASHARA, KILIMO NA MIFUGO YAFANYA ZIARA KWENYE MPAKA WA MUTUKULA MKOA WA KAGERA.
Kamati ya Kudumu ya Bunge Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo imeielekeza Wizara ya Viwanda na Biashara kutatuta changamoto za Biashara katika Mpaka wa Mutukula.
Soma zaidi -
November 21, 2023KAMATI YA BUNGE VIWANDA, BIASHARA, KILIMO NA MIFUGO YAPATIWA ELIMU KUHUSU MATUMIZI SAHIHI YA VIPIMO
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda Biashara, Kilimo na Mifugo imeielekeza Wizara ya Viwanda na Biashara kupitia Wakala wa Vipimo nchini (WMA) kuwa na mpango mkakati endelevu wa utoaji elimu kuhusu matumizi sahihi ya Vipimo.
Soma zaidi -
November 16, 2023YALIYOJIRI KATIKA SEMINA YA MATUMIZI SAHIHI YA VIPIMO WILAYA YA CHAMWINO DODOMA TAREHE 16.11.2023
Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Mhe. Gift Msuya amewaasa Madiwani wa Halmashauri hiyo kuwahimiza Wananchi kutumia Vipimo sahihi katika Biashara na katika ufungashaji wa mazao ya kilimo pia.
Soma zaidi -
November 10, 2023YALIYOJIRI KATIKA HAFLA YA KUWAPONGEZA WANAFUNZI WALIOFANYA VIZURI ZAIDI CHUO CHA CBE DAR ES SALAAM
Afisa Mtendaji Mkuu Wakala wa Vipimo Bi. Stella Kahwa leo tarehe 9/11/2023 alikuwa Mgeni Rasmi katika hafla ya kuwapongeza Wanafunzi wa Chuo Cha Elimu ya Biashara (CBE) ambao wamefanya vizuri zaidi katika fani mbalimbali.
Soma zaidi