Habari


  • June 25, 2024

    WMA ILALA YATEKELEZA MKAKATI WA ELIMU MASOKONI KWA KILA MDAU

    Wakala wa Vipimo Mkoa wa Ilala imetekeleza mpango mkakati wake wa utoaji wa elimu juu ya matumizi sahihi ya vipimo na ufungashaji wa mazao kwa usahihi kwa mujibu wa Sheria ya Vipimo

    Soma zaidi

  • June 24, 2024

    ELIMU YA VIPIMO YATOLEWA KWA WATUMISHI WA NSSF MKOA WA TEMEKE

    Wakala wa Vipimo (WMA) imetoa elimu ya matumizi sahihi ya vipimo kwa watumishi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) Mkoa wa Temeke.

    Soma zaidi

  • June 04, 2024

    YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA BARAZA LA 34 LA WAFANYAKAZI WA WAKALA WA VIPIMO (WMA).

    Afisa Mtendaji Mkuu Bw. Alban Kihulla ameongoza kikao cha therasini na nne (34) cha Baraza la Wafanyakazi wa Wakala wa Vipimo kilichofanyika leo tarehe 04.06.2024 katika Ukumbi wa WMA Mkoa wa Kilimanjaro.

    Soma zaidi

  • May 31, 2024

    WAKALA WA VIPIMO MKOA WA KINONDONI YATOA ELIMU YA UFUNGASHAJI SAHIHI WA MAZAO KATIKA SOKO LA MABIBO GAMETS

    Katika kuendeleza mapambano dhidi ya lumbesa, Wakala wa Vipimo Mkoa wa Kinondoni imetoa elimu juu ya ufungashaji sahihi wa mazao kwa wafanyabiashara wa viazi katika soko la Mabibo Gamets.

    Soma zaidi