Habari
-
August 08, 2025WAKALA WA VIPIMO KUANZA KUTOA ELIMU MASHULENI
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Brother Martin ya mkoani Dodoma wamepata elimu ya vipimo
Soma zaidi -
August 07, 2025PROFESA PALAMAGAMBA KABUDI ATEMBELEA BANDA LA WAKALA WA VIPIMO NANENANE NA KUWAPONGEZA KWA KAZI NZURI
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi ametembelea Banda la Wakala wa Vipimo (WMA) katika Maonesho ya NaneNane Dodoma.
Soma zaidi -
June 20, 2025WMA YAENDESHA ZOEZI LA UHAKIKI MITA ZA UMEME VIWANDANI
Wakala wa Vipimo (WMA) unaendesha zoezi la kuhakiki mita za umeme zilizofungwa katika viwanda mbalimbali nchini ili kuhakikisha Serikali kupitia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) inapata mapato stahiki
Soma zaidi -
February 27, 2025WAZIRI JAFO AKABIDHI MAGARI MATANO KWA WAKALA WA VIPIMO
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Selemani Jafo (Mb) amekabidhi magari matano kwa taasisi ya Wakala wa Vipimo ikiwa ni sehemu ya kuendelea kuboresha utoaji wa huduma za uhakiki na ukaguzi wa vipimo
Soma zaidi