Habari
-
August 26, 2024WATAALAMU KITENGO CHA BANDARI WMA WAAHIDI WELEDI ZAIDI KAZINI
Wafanyakazi wa Wakala wa Vipimo (WMA) Kitengo cha Bandari, wamesema wataendelea kutekeleza majukumu yao kwa weledi ili kufikia azma ya Serikali ya Awamu ya Sita ya kuwa na Tanzania ya Viwanda.
Soma zaidi -
August 19, 2024WAKALA WA VIPIMO YAENDESHA UKAGUZI WA KUSHTUKIZA KATIKA MADUKA YA KUUZIA NONDO JIJINI DAR ES SALAAM
Wakala wa Vipimo Mkoa wa Dar es Salaam imeendesha zoezi la ukaguzi wa kushtukiza katika maduka mbalimbali ya kuuzia nondo ili kujiridhisha kama bidhaa hizo zipo katika Vipimo sahihi.
Soma zaidi -
August 19, 2024WAKALA WA VIPIMO ZANZIBAR WAJIFUNZA KUTOKA WMA BARA
Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala wa Vipimo Zanzibar (ZAWEMA) Mohammed Simai amefanya ziara ya siku mbili mkoani Mtwara kwa lengo la kujifunza majukumu yanayotekelezwa na Wakala wa Vipimo Tanzania Bara (WMA) ambapo amekiri kunufaika zaidi ya alivyotarajia
Soma zaidi -
August 12, 2024WMA YAWAPONGEZA WAKULIMA KARATU KUZINGATIA MATUMIZI YA VIPIMO SAHIHI
Kaimu Mkurugenzi wa Huduma za Ufundi kutoka Wakala wa Vipimo Tanzania (WMA), Albogast Kajungu, amefanya ziara ya kushtukiza katika mashamba ya wakulima mbalimbali eneo la Mang’ola wilayani Karatu
Soma zaidi