Habari
-
June 24, 2024ELIMU YA VIPIMO YATOLEWA KWA WATUMISHI WA NSSF MKOA WA TEMEKE
Wakala wa Vipimo (WMA) imetoa elimu ya matumizi sahihi ya vipimo kwa watumishi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) Mkoa wa Temeke.
Soma zaidi -
June 04, 2024YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA BARAZA LA 34 LA WAFANYAKAZI WA WAKALA WA VIPIMO (WMA).
Afisa Mtendaji Mkuu Bw. Alban Kihulla ameongoza kikao cha therasini na nne (34) cha Baraza la Wafanyakazi wa Wakala wa Vipimo kilichofanyika leo tarehe 04.06.2024 katika Ukumbi wa WMA Mkoa wa Kilimanjaro.
Soma zaidi -
May 31, 2024WAKALA WA VIPIMO MKOA WA KINONDONI YATOA ELIMU YA UFUNGASHAJI SAHIHI WA MAZAO KATIKA SOKO LA MABIBO GAMETS
Katika kuendeleza mapambano dhidi ya lumbesa, Wakala wa Vipimo Mkoa wa Kinondoni imetoa elimu juu ya ufungashaji sahihi wa mazao kwa wafanyabiashara wa viazi katika soko la Mabibo Gamets.
Soma zaidi -
May 21, 2024ELIMU YA MATUMIZI SAHIHI YA VIPIMO YATOLEWA KWA WABUNGE
Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar Mhe. Omar S. Shaaban ameipongeza taasisi ya Wakala wa Vipimo (WMA) kwa namna inavyoendelea kusimamia usahihi wa vipimo
Soma zaidi