Habari
-
August 29, 2024WMA YAHAMASISHA MATUMIZI SAHIHI YA VIPIMO KWA WATUMISHI NSSF ILALA
Wakala wa Vipimo Tanzania (WMA), imewahamasisha watumishi wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) Mkoa wa kivipimo Ilala, kujenga tabia ya kuwa makini na namna vipimo vinavyotumika kila wanapopata huduma na mahitaji mbalimbali.
Soma zaidi -
August 26, 2024WABUNIFU VIPIMO, TEKNOLOJIA MPYA WAHAMASISHWA KUCHANGAMKIA FURSA
Meneja wa Viwango na Uhakiki, Wakala wa Vipimo Tanzania (WMA), Magesa Biyani ametoa rai kwa wabunifu wa vipimo pamoja na teknolojia mbalimbali zinazohusiana na uhakiki wa vipimo kuchangamkia fursa
Soma zaidi -
August 26, 2024WATAALAMU KITENGO CHA BANDARI WMA WAAHIDI WELEDI ZAIDI KAZINI
Wafanyakazi wa Wakala wa Vipimo (WMA) Kitengo cha Bandari, wamesema wataendelea kutekeleza majukumu yao kwa weledi ili kufikia azma ya Serikali ya Awamu ya Sita ya kuwa na Tanzania ya Viwanda.
Soma zaidi -
August 19, 2024WAKALA WA VIPIMO YAENDESHA UKAGUZI WA KUSHTUKIZA KATIKA MADUKA YA KUUZIA NONDO JIJINI DAR ES SALAAM
Wakala wa Vipimo Mkoa wa Dar es Salaam imeendesha zoezi la ukaguzi wa kushtukiza katika maduka mbalimbali ya kuuzia nondo ili kujiridhisha kama bidhaa hizo zipo katika Vipimo sahihi.
Soma zaidi