Habari
-
August 11, 2017MIZANI 94 KATI YA 150 YATAKIWA KUFANYIWA MAREKEBISHO WILAYANI RUANGWA, MKOA WA LINDI.
Wakala wa Vipimo nchini imezuia matumizi ya mizani 94 kati 150 ya vyama vya msingi vya ushirika (AMCOS) katika Wilaya ya Ruangwa, mkoani Lindi, isitumike hadi pale itakapo fanyiwa marekebisho na kuonekana inafaa kwa matumizi.
Soma zaidi -
August 11, 2017Siku ya Vipimo Duniani
Mei, 20 kila mwaka nchi nyingi duniani husherehekea siku ya vipimo duniani. Mwaka huu kauli mbiu ( theme) ya maadhimisho ni vipimo katika sekta ya usafirishaji (measurement for transport) .
Soma zaidi -
August 11, 2017Elimu kwa Umma pamoja na uhakiki wa mizani Wilayani Masasi Mkoani Mtwara
Elimu kwa Umma pamoja na uhakiki wa mizani Wilayani Masasi Mkoani Mtwara
Soma zaidi -
January 09, 2017Wakala wa Vipimo yaanza kuweka stika maalum katika vipimo mbali mbali vitakavyo hakikiwa
Katika jitihada za kuboresha zaidi na kwenda na teknolojia ya kisasa ya kumlinda mlaji katika vipimo, Wakala wa Vipimo (WMA) kwa mwaka huu (2017) itaanza rasmi uwekaji wa sticker katika vipimo vya aina mbalimbali.
Soma zaidi