Habari
-
October 20, 2020Uhakiki wa mita za maji
Uhakiki wa mita za maji
Soma zaidi -
October 20, 2020Elimu kwa umma
Elimu kwa Umma
Soma zaidi -
April 08, 2019Ukaguzi wa Mizani Mtwara
Wakala wa Vipimo (WMA) imeendelea kufanya uhakiki na ukaguzi wa kushtukiza katika vituo vya kununulia Korosho katika Mikoa ya Mtwara, Lindi, Ruvuma, na Pwani ambapo jumla ya Wilaya 20 katika Mikoa yote zilifikiwa.
Soma zaidi -
April 22, 2018WAKALA WA VIPIMO YAENDELEA KUTOA ELIMU KUHUSU MIZANI KWA WAKULIMA WA PAMBA
Wakala wa Vipimo (WMA) inaendelea na zoezi la utoaji elimu kwa Wakulima na wadau wa zao la pamba katika Mikoa saba (7) ya Kanda ya Ziwa ambayo ni Mwanza, Geita, Simiyu, Tabora, Shinyanga, Mara pamoja na Kagera. Jumla ya wilaya 27 zitapata elimu ya Mizani sahihi zinazotakiwa kutumika wakati wa msimu wa kuuza pamba.
Soma zaidi