Habari
-
January 03, 2023ZIARA YA KATIBU MKUU WIZARA YA UWEKEZAJI, VIWANDA NA BIASHARA KUTEMBELEA UJENZI WA OFISI YA MAKAO MAKUU DODOMA
Katibu Mkuu Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdallah amefanya ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa Ofisi ya Wakala wa Vipimo Makao Makuu Dodoma ili kujiridhisha na kasi na utendaji kazi katika mradi huo.
Soma zaidi -
December 28, 2022ELIMU YA VIPIMO KWA WATU WENYE UHITAJI MAALUM IKWIRIRI, RUFIJI MKOA WA PWANI
Wakala wa Vipimo (WMA) imetoa Elimu ya Vipimo kwa kundi la watu wenye uhitaji maalum ikwiriri kwa lengo la kuwajengea uelewa kuhusu matumizi sahihi ya Vipimo.
Soma zaidi -
November 18, 2022KAMATI YA BUNGE VIWANDA, BIASHARA NA MAZINGIRA YAIPONGEZA WAKALA WA VIPIMO
Kituo cha Wakala wa Vipimo (WMA), Misugusuru Mkoa wa Pwani kimekuwa cha mfano na nchi za Afrika Mashariki zimekuwa zikija kujifunza ubora wa kazi zinazofanywa kwenye kituo hicho
Soma zaidi -
October 28, 2022MIZANI 1326 IMEHAKIKIWA MTWARA KWENYE MSIMU WA KOROSHO
Wakala wa Vipimo Mtwara imefanya uhakiki wa mizani 1326 ili kuhakikisha biashara zinafanyika kwa kutumia vipimo sahihi ili wakulima wa zao la korosho wasipunjike na waweze kunufaika na korosho watakayo uza.
Soma zaidi