Habari
-
August 26, 2021WAKALA WA VIPIMO YAPONGEZWA KUTOA ELIMU YA VIPIMO SONGEA
Mwakilishi wa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mhe. Pololet Kamando Mgema ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Songea ameipongeza taasisi ya Wakala wa Vipimo (WMA) kwa kutoa mafunzo ya matumizi sahihi ya Vipimo
Soma zaidi -
May 19, 2021Maadhimisho ya Siku ya Vipimo Duniani
Kila mwaka mei 20 Wakala wa Vipimo huungana na mashirika mengine ulimwengini kuadhimisha Siku ya Vipimo Duniani. Wakala wa Vipimo ni mwanachama wa Shirika la Vipimo Duniani (OIML) na kaulimbiu ya maadhimisho ya mwaka huu ni Vipimo katika sekta ya Afya (Measurement in health).
Soma zaidi -
May 19, 2021ELIMU KWA UMMA
Wakala wa Vipimo (WMA) imeendelea kutoa elimu ya matumizi sahihi ya Vipimo kwa Wafanyabiashara, Wajasiriamali na Viongozi wa vyama vya msingi vya Ushirika (AMCOS) katika Mkoa wa Lindi.
Soma zaidi -
December 31, 2020Uhakiki wa Flow Meters
Uhakiki wa Flow Meters kwa ajili ya kumlinda mlaji.
Soma zaidi