Habari
-
April 22, 2018WAKALA WA VIPIMO YAENDELEA KUTOA ELIMU KUHUSU MIZANI KWA WAKULIMA WA PAMBA
Wakala wa Vipimo (WMA) inaendelea na zoezi la utoaji elimu kwa Wakulima na wadau wa zao la pamba katika Mikoa saba (7) ya Kanda ya Ziwa ambayo ni Mwanza, Geita, Simiyu, Tabora, Shinyanga, Mara pamoja na Kagera. Jumla ya wilaya 27 zitapata elimu ya Mizani sahihi zinazotakiwa kutumika wakati wa msimu wa kuuza pamba.
Soma zaidi -
April 19, 2018ELIMU KWA WAKULIMA WA PAMBA KATIKA MIKOA YA KANDA YA ZIWA YAPAMBA MOTO ILI KUCHOCHEA TANZANIA YA VIWANDA
Wakala wa Vipimo wapo Kanda ya Ziwa katika Mikoa ya Mwanza, Simiyu, Geita, Kagera, Mara, Shinyanga na Tabora kuanzia tarehe 16-28/4/2017 kwa ajili ya kutoa elimu kwa wakulikma na Pamba pamoja na kufanya uhakiki wa Mizani itakayotumika katika msimu wa kununulia zao la Pamba
Soma zaidi -
September 06, 2017MKUU WA MKOA WA LINDI AHIMIZA MATUMIZI YA VIPIMO SAHIHI
Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe. Godfrey W. Zambi amewataka Wakala wa Vipimo Kuongeza nguvu zaidi katika kusimamia matumizi sahihi ya vipimo katika maeneo mbalimbali, ili wakulima na Wananchi kwa ujumla waweze kunufaika na mazao wanayolima pindi waendapo kuyauza wakati wa msimu.
Soma zaidi -
August 14, 2017ZAIDI YA MIZANI 3070 YAHAKIKIWA KATIKA MIKOA YA KANDA YA ZIWA KWA AJILI YA UNUNUZI WA ZAO LA PAMBA
Wakala wa Vipimo Tanzania ( WMA) chini ya usimamizi wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji imeendelea kutoa elimu kwa wakulima pamoja na kuhakiki mizani itakayotumika kununulia zao la Pamba ikiwa ni maandalizi ya msimu wa ununuzi wa Pamba kwa mwaka huu.
Soma zaidi