Habari
-
September 30, 2021Elimu kuhusu matumizi sahihi ya Vipimo na Ufungashaji kwenye Maonesho ya SIDO Kigoma
Wakala wa Vipimo Mkoa wa Kigoma ni miongoni mwa taasisi za Serikali zinazoshiriki katika Maonesho ya tatu ya SIDO Kitaifa ambayo yanafanyika katika Viwanja vya Umoja Kasulu Mkoani Kigoma.
Soma zaidi -
September 29, 2021Elimu kuhusu matumizi sahihi ya Vipimo na Ufungashaji Mkoa wa Njombe
Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mhe. Marwa Rubirya ameipongeza taasisi ya Wakala wa Vipimo kwa uamuzi wa kutoa elimu kuhusu matumizi sahihi ya Vipimo na ufungashaji kwa Wakulima na viongozi mbalimbali wa Serikali
Soma zaidi -
September 20, 2021UMUHIMU WA KUTUMIA VIPIMO SAHIHI KATIKA SEKTA YA MADINI
Wakala wa Vipimo (WMA) inawakaribisha wananchi wote wa Geita na Mikoa yote ya karibu kuhudhuria katika maonesho ya nne ya Teknolojia na uwekezaji katika sekta ya Madini ambayo yanafanyika katika viwanja vya EPZ bomba mbili mjini Geita.
Soma zaidi -
August 26, 2021WAKALA WA VIPIMO YASISITIZA MATUMIZI YA VIPIMO SAHIHI CHATO
Wakala wa Vipimo inawakaribisha Wananchi wote wa Chato pamoja na maeneo ya karibu kutembelea katika banda lake kwenye Maonesho ya kUtalii na Biashara yanayofanyika katika Uwanja wa Magufuli Chato.
Soma zaidi