Habari


  • December 09, 2021

    Elimu kwa Umma kwenye viwanja vya Maisara Zanzibar

    Wakaazi wa Zanzibar wamehimizwa kujitokeza kwa wingi kwenye Viwanja vya Maisara kwa lengo la kupata elimu kuhusu matumizi sahihi ya Vipimo.

    Soma zaidi

  • September 30, 2021

    Elimu kuhusu matumizi sahihi ya Vipimo na Ufungashaji kwenye Maonesho ya SIDO Kigoma

    Wakala wa Vipimo Mkoa wa Kigoma ni miongoni mwa taasisi za Serikali zinazoshiriki katika Maonesho ya tatu ya SIDO Kitaifa ambayo yanafanyika katika Viwanja vya Umoja Kasulu Mkoani Kigoma.

    Soma zaidi

  • September 29, 2021

    Elimu kuhusu matumizi sahihi ya Vipimo na Ufungashaji Mkoa wa Njombe

    Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mhe. Marwa Rubirya ameipongeza taasisi ya Wakala wa Vipimo kwa uamuzi wa kutoa elimu kuhusu matumizi sahihi ya Vipimo na ufungashaji kwa Wakulima na viongozi mbalimbali wa Serikali

    Soma zaidi

  • September 20, 2021

    UMUHIMU WA KUTUMIA VIPIMO SAHIHI KATIKA SEKTA YA MADINI

    Wakala wa Vipimo (WMA) inawakaribisha wananchi wote wa Geita na Mikoa yote ya karibu kuhudhuria katika maonesho ya nne ya Teknolojia na uwekezaji katika sekta ya Madini ambayo yanafanyika katika viwanja vya EPZ bomba mbili mjini Geita.

    Soma zaidi