Habari


  • April 29, 2024

    BODI YA USHAURI NA MENEJIMENTI YA WAKALA WA VIPIMO YAZUNGUMZA NA WATUMISHI WAKE.

    Bodi ya Ushauri ya Wakala wa Vipimo chini ya Mwenyekiti wake Profesa Elizabeth Alfred Mwakasangula imezungumza na watumishi wa taasisi hiyo leo tarehe 29,April 2024 katika ukumbi wa mikutano wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF),Ilala Jijini Dar es salaam.

    Soma zaidi

  • March 19, 2024

    WAKALA WA VIPIMO YAANZA KUHAKIKI MITA ZA UMEME

    Taasisi ya Wakala wa Vipimo (WMA) imeanza kufanya uhakiki wa mita za umeme mpya ambazo zinaenda kufungwa kwa wateja katika maeneo mbalimbali

    Soma zaidi

  • March 08, 2024

    WAFANYABIASHARA WA MBOGA MBOGA WATAKIWA KUZINGATIA SHERIA YA VIPIMO

    Afisa mtendaji mkuu Wakala wa Vipimo( WMA) Bi. Stella Kahwa, amekutana na kufanya mazungumzo na wafanyabiashara wa mboga mboga na matunda (WAMBOMADA)

    Soma zaidi

  • February 16, 2024

    WAKALA WA VIPIMO YATOA ELIMU KWA WADAU WA MBOGA MBOGA WILAYANI GAIRO.

    Wakala wa Vipimo (WMA) imetoa elimu kuhusu matumizi sahihi Vipimo kwa wasafirishaji, wafanyabiashara, wazalishaji na wakulima wa mboga mboga Wilaya ya Gairo, Mkoani Morogoro.

    Soma zaidi