Habari
- 
                            
                                
May 14, 2024WAKALA WA VIPIMO YATOA ELIMU KWA BAADHI YA WATUMISHI WA SHIRIKA LA UZALISHAJI MALI JESHI LA KUJENGA TAIFA (SUMA JKT).
Katika kuendeleza juhudi zake za kuwafikia wadau na kuwapa elimu ya matumizi sahihi ya vipimo, Wakala wa Vipimo (WMA) imewapa elimu hiyo baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya SUMA JKT waliopo ilala NSSF Mafao leo tarehe 14 Mei, 2024.
Soma zaidi - 
                            
                                
May 13, 2024WAKALA WA VIPIMO NA EWURA ZAFANYA UKAGUZI KATIKA VITUO VYA KUUZA MAFUTA MKOANI PWANI
Wakala wa Vipimo (WMA) imeshirikiana na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) kufanya ukaguzi wa kushitukiza katika vituo mbalimbali vya kuuza mafuta mkoani Pwani.
Soma zaidi - 
                            
                                
May 01, 2024WAKALA WA VIPIMO (WMA) YASHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYA KAZI DUNIANI (MEI MOSI)
Uongozi na watumishi wa Wakala wa Vipimo (WMA), umeshiriki katika maadhimisho ya siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi)
Soma zaidi - 
                            
                                
April 29, 2024WAKALA WA VIPIMO (WMA), YASHIRIKI MAONESHO YA MIAKA 60 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR.
Wakala wa Vipimo (WMA) imeshiriki katika wiki ya maonesho ya miaka 60 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar yanayoendelea kufanyika katika viwanja vya maonesho vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam.
Soma zaidi