Habari
-
September 30, 2023WMA YAKAGUA MIZANI INAYOTUMIKA KATIKA SEKTA YA MADINI
Wakala wa vipimo inaishukuru sana serikali ya awamu ya sita ambayo inaongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kusimamia sekta ya madini
Soma zaidi -
September 01, 2023WAFANYABIASHARA WA SOKO LA MAWENZI MKOANI MOROGORO WAHIMIZWA KUTUMIA VIPIMO SAHIHI
Meneja wa Wakala wa Vipimo (WMA) Mkoa wa Morogoro amewataka viongozi wa masoko ya Mkoa wa Morogoro na wafanyabiashara wa masoko yote kuzingatia matumizi sahihi ya vipimo wakati wote
Soma zaidi -
August 29, 2023Afisa Mtendaji Mkuu Bi. Stella Kahwa afanya mazungumzo na Uongozi wa CBE
Afisa Mtendaji Mkuu Bi. Stella Kahwa amekutana na kufanya mazungumzo na Kaimu Mkuu wa Chuo Cha Biashara (CBE) Prof. Tandi Lwoga leo tarehe 29.8.2023.
Soma zaidi -
August 25, 2023Dkt.Ashatu aridhishwa na Maendeleo ya Ujenzi wa Ofisi ya WMA Makao Makuu Dodoma
Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt.Ashatu Kijaji(Mb) ameridhishwa na Ujenzi wa Jengo la Ofisi ya Wakala wa Vipimo Tanzania (WMA) chini ya Mkandarasi kutoka Kampuni ya Mohammed Builders Limited.
Soma zaidi