Habari
-
August 15, 2023YALIYOJIRI WAKATI WA MKUTANO WA WMA NA WAANDISHI WA HABARI KWENYE UKUMBI WA HABARI MAELEZO DODOMA
Wakala wa Vipimo katika utekelezaji wa majukumu yake unasaidia katika kujenga uchumi wa kisasa, shirikishi na shindani, msingi mkuu wa kufanikisha haya ni kuwa na viwanda vinavyotumia ipasavyo vipimo vilivyohakikiwa.
Soma zaidi -
August 11, 2023WAKALA WA VIPIMO YAHIMIZWA KUSIMAMIA UANZISHWAJI WA VITUO VYA MAUZO YA MAZAO
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe (Mb) ameipongeza taasisi ya Wakala wa Vipimo kwa kuendelea kusimamia usahihi wa vipimo kwenye sekta mbalimbali ikiwa ni pamoja na sekta ya Kilimo.
Soma zaidi -
July 31, 2023DKT. ASHATU KIJAJI ASISITIZA USIMAMIZI WA USAHIHI WA VIPIMO AKIZINDUA BODI YA WAKALA WA VIPIMO (WMA)
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) asisitiza bodi mpya ya ushauri ya Wakala wa Vipimo kuhakikisha walaji wanalindwa kupitia uhakiki wa vipimo
Soma zaidi -
July 21, 2023YALIYOJIRI KWENYE KIKAO CHA MENEJIMENTI CHA TATHMINI YA UTENDAJI WA WAKALA WA VIPIMO
Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdallah amewataka viongozi wa Wakala wa Vipimo kujikita zaidi kwenye kusaidia uwezeshaji kwenye Biashara kwa kuhakikisha inatoa elimu ya kutosha kuhusu umuhimu wa kutumia Vipimo na kuhakikisha wafanyabiashara wanazalisha bidhaa zenye Vipimo sahihi .
Soma zaidi