Habari
-
March 07, 2023KAMATI YA KILIMO, BIASHARA NA UTALII YAIPONGEZA WAKALA WA VIPIMO KWA UTENDAJI KAZI WAKE
Kamati ya Kilimo, Biashara na Utalii Baraza la Uwakilishi Zanzibar imeipongeza taasisi ya Wakala wa Vipimo kwa utekelezaji mzuri wa majukumu yake katika kuhakikisha inawalinda watumiaji wa vipimo mbalimbali.
Soma zaidi -
February 18, 2023KATIBU MKUU AKUTANA NA VIONGOZI WA WAKALA WA VIPIMO KUJADILI MAMBO YA KIUTENDAJI
Katibu Mkuu Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt. Hashiri Abdallah amewataka mameneja vipimo katika mikoa kuendelea kutoa elimu ya vipimo na kusimamia usahihi wa vipimo ili kuwalinda Wananchi
Soma zaidi -
January 03, 2023ZIARA YA KATIBU MKUU WIZARA YA UWEKEZAJI, VIWANDA NA BIASHARA KUTEMBELEA UJENZI WA OFISI YA MAKAO MAKUU DODOMA
Katibu Mkuu Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdallah amefanya ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa Ofisi ya Wakala wa Vipimo Makao Makuu Dodoma ili kujiridhisha na kasi na utendaji kazi katika mradi huo.
Soma zaidi -
December 28, 2022ELIMU YA VIPIMO KWA WATU WENYE UHITAJI MAALUM IKWIRIRI, RUFIJI MKOA WA PWANI
Wakala wa Vipimo (WMA) imetoa Elimu ya Vipimo kwa kundi la watu wenye uhitaji maalum ikwiriri kwa lengo la kuwajengea uelewa kuhusu matumizi sahihi ya Vipimo.
Soma zaidi