Habari
-
May 21, 2023SETI 25 ZA VIPIMO VYA MAWESE ZAGAWIWA KWENYE MAADHIMISHO YA SIKU YA VIPIMO DUNIANI MKOANI KIGOMA
Wakala wa Vipimo imeadhimisha siku ya Vipimo Duniani Mkoa wa Kigoma kwa kugawa jumla ya seti za vipimo 25 zenye ujazo wa lita 5, lita 10 na lita 20 kwa lengo la kuhimiza matumizi ya vipimo sahihi
Soma zaidi -
May 08, 2023WAKALA WA VIPIMO MKOA WA KIGOMA YAHIMIZWA KUENDELEA KUSIMAMIA MATUMIZI SAHIHI YA VIPIMO KWENYE MAWESE
Wakala wa Vipimo imefanya kikao na viongozi mbalimbali wa Mkoa wa Kigoma kujadili mkakati wa kutokomeza matumizi ya Vipimo batili kwenye mawese (Bidoo).
Soma zaidi -
March 20, 2023WATU WANNE WAKAMATWA KWA KUCHEZEA VIPIMO KWENYE MADUKA YA KUUZIA NYAMA JIJINI DAR ES SALAAM
Wakala wa Vipimo Mkoa wa Dar es Salaam imeendesha ukaguzi wa kushtukiza kwenye maduka ya kuuzia nyama kwa lengo la kujiridhisha kama Vipimo vinatumika kwa usahihi.
Soma zaidi -
March 07, 2023KAMATI YA KILIMO, BIASHARA NA UTALII YAIPONGEZA WAKALA WA VIPIMO KWA UTENDAJI KAZI WAKE
Kamati ya Kilimo, Biashara na Utalii Baraza la Uwakilishi Zanzibar imeipongeza taasisi ya Wakala wa Vipimo kwa utekelezaji mzuri wa majukumu yake katika kuhakikisha inawalinda watumiaji wa vipimo mbalimbali.
Soma zaidi